Milioni mia moja za bomu Arusha

luhui

Member
Joined
Dec 24, 2011
Posts
22
Reaction score
1
Ndugu zile pesa tulizoahidiwa bungeni kuhusu atakayembaini au kutoa tetesi za mlipuaji wa bomu katika mkutano wa CDM Arusha mnazikumbuka,au sakata limeisha?naamini bado hajapatikana hivyo tuendelee na juhudi za kumtafuta ili 'tupate' MILIONI MIA,mtaji tosha huo!
 
Mbowe anasubiri waongeze dau ndio apeleke ushahidi
 
Naona suala hili kama lilivyosemwa mwanzoni lilikuwa ni la kisiasa na matokeo yake yatakuwa ya kisiasa. Nadhani Mbowe kwa kujua udhaifu wa watawala na vyombo vibovu vya sheria vilivyopo ameamua kulifanya la kisiasa kwamba anasubiri mahali panyonge ili kamba hiyo iweze kukatikia na hapo ni 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…