Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,363
Sembe a.k.a madawa yameitia bongo hali chafu huko nchi nyingine, awali kipindi cha nyuma hapa afrika wanigeria ndo walishika chati mno ila kwa kipindi hiki ni aibu kwa bongo nayo kuwemo kwenye ishu za usafirishaji wa madawa.
Japo wasanii na macelebrity wengi tushashuhudia wakidakwa na sembe huko ughaibuni bado wengine huendelea na hizi trip za kusafirisha sembe, haya yote ni kwajili tamaa ya mpunga mrefu sana kwa tripu moja tu wanapewa dola za kimarekani $ 15,000 taslim cash sawa na milioni 33 za kibongo hali inayovutia wengi kujihusisha
Mfano wa matokeo wa hii hali kuna madogo hapo dar rika la 20 - 26 wana pesa chafu na magari ya kuvutia bila ya kuwa na kazi halali wanayofanya.
Tafakari mtu anapiga trip tatu kusafirisha sembe kutoka Brazil kuja Tz, yaani ni 15,000 x 3 = 45,000 sawa na 99,000,000 za kitanzania, hii pesa ni ndefu sana .
Kwa hali hii je kuwa mapunda ndo njia mbadala ya kuingiza kipato licha ya uwepo wa hatari kukamatwa na mzigo na kufungwa jela?