Milio ya Risasi Kimara

Milio ya Risasi Kimara

BIGURUBE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
6,748
Reaction score
4,257
Wakuu nipo maeneo ya Kimara Mwisho mida hii kuna milipuko imesikia km ya risasi, km kuna mtu ana full details atujuze, inatia hofu hata kutoka nje.
 
Nimepata habari kuwa kuna vurugu za uchaguzi huko Stop Over-Kimara
 
Ki
ukweli ni kuwa Hapo Kimara Matangini CHADEMA, Stop Over CHADEMA,
michungwani CHADEMA, Wafuasi wa CDM wanaandamana kushangilia ushindi na Polisi wanawatawanya
kwa Risasi, Ila waapiga juu...
 
Si utoke utujuze?

Weweeee!! Mwenzio saa Hii Yuko mvunguni na mlangoni kapanga matofali...na sii ajabu pia uko chini ya kitanda ameshapaffanya cHoo halafu unamwambia atoke!!?? Chezea risasi wewe!!!
 
huku kimara ni milio ya risasi kwenda mbele,ccm tulishaifuta tangu 2010.
 
Back
Top Bottom