Miliki ka usafiri kwa tsh 1ml

Masika

JF-Expert Member
Sep 18, 2009
723
30
Wiki ilioyopita nliuza used bajaj yangu 2stroke(miguu 3) kwa 1.5ml
sasa nauza na zilizobakia kwa bei chee tsh 1ml na 1.8ml zipo 2 na zinafanya kazi moja ya 2010 nyingine ya zamani kidogo
tafuta fundi akusaidie kukagua ukirizika nijaze mapene,hazina longo longo kadi na bima ziko safi na vimelipiwa ushuru
xmass ina karibia nijazeni mahela hayo mchukue usafiri,ambao unaweza kufanyia biashara pia,nataka kupanda kuleeee kwetu

kama unataka kuziona hapa dar es salaam madereva wangu watakuletea ulipo au ntakuagizia walipo ukakague
mawasiliano 0787883059
karibuni na mazungumzo yapo na yanakaribishwa
 
hesabu hapo zimegoma unataka kupunguza hedek
 
Yeggo Masika..Libyashara la bajaji limekushinda?Punguza mpaka laki 5 basi mimi ndo ninayo.
 
pikipiki za kichina zimekukatia dili la bajaji ndio maana ee...Laki 6.5 utapokea??
 
Ukumbuke kulipia matangazo yako hapa Jamvini sio uweke biashara zako tu! Mzima wewe lakini? Hongera kwa kua na idea ya biashara
 
Back
Top Bottom