technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,558
- 57,857
Milembe republic ni nchi ambayo Rais wake anachaguliwa na kakikundi ka watu tena kwa kunyoosha mikono juu na kupiga vigelegele.
Milembe republic ni nchi ambayo Rais, Mbunge au diwani anaweza kusimama na kuwatukana watu JITU, KENGE, MAROFA na watu hao wa milembe wakashangilia..
Milembe republic ndio nchi ambayo wasanii wanaweza kuwaimbia nyimbo na kuwasaidia kampeni Viongozi wao halafu wakiugua wanaomba msaada kwa wanachi waliowasaliti.
Taifa lililokufa kiuchumi kisiasa,Kisiasa na kifikira !!
Karibu milembe republic uone utalii wa watu wake Kama unavyokuja kwenda Serengeti kuona wanyama na mijusi Hawa watu ni kivutio Cha utalii.