milembe bure!

milembe bure!

kingdon

Senior Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
121
Reaction score
61
Dreva mmoja alikabidhiwa vichaa hospital ya muhimbil awapeleke mileme,alipofika chalinze akasimamisha gar apate breakfast,ndipo kichaa mmoja alipopitia dirishan akawafungulia vichaa wenzake wote wakatokomea.,Dreva alivyomaliza kunywa chai kwenda kwenye gar akakuta liko waz!,akachekecha akil akapata jibu akaanza kupiga debe milembe bure milembe bure watu kwa kupenda vya dezo wakajazana ndan ya gar jamaa na gia mpaka milembe!,kufika akawakabidhi madokita gar na wagonjwa wao ye na moto.
 
Wabongo kwa vya bure tu,hata ukiwaambia jehanamu bure watakimbilia tu!
 
Hahaha halafu huyo dereva mwenyewe anaonekana ndo wwe hapo kwenye profile hahah joks

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom