Milango ya Nyumba (mbao ya kichina)

Attachments

  • upvc-door-bathroom-pvc-doors-prices-rfl.jpg
    18.6 KB · Views: 185
  • Doors-Richmond-VA.jpg
    77.5 KB · Views: 159
Inapatikana kariakoo, ila lazima uende na vipimo kulingana na ukubwa wa flemu za milango,ndio uweke order wakutengenezee,bei ni kuanzia 90,000,
Nadhani kuna kasifuri kamoja umekasahau hapo.

Oh sorry kumbe ni ile milango ya vyumbani, nilidhani ile ya nje...
 
E

Elfu 90,000/=, wanatumia mbao gani hao, Nami nahitaji kadhaa
Ile sio kwamba ni mbao,nadhani ni mabaki ya malanda yatokanayo na mbao,ni milango laini sana na sumunyake kubwa ni maji ila kama utaiepusha na maji inatumika vyumbani,itakaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…