Milango ya Nyumba (mbao ya kichina)

Mzee wa Wima

JF-Expert Member
Mar 20, 2016
537
295
Habari za jioni wadau.kama kichwa cha habari kinavyoeleza.Nahitaji milango ya aambayo ilikuwa inapatikana maduka ya jeshi wanaita milango ya kichina.mwenye uzoefu na mahala inapopatikana na being,pia hata nikipata fundi anayeweza kutengeneza kwa dizaini hiyo ninayoitaka ingependeza.nawasilisha wadau.
 
bei sikumbuki ila kwa kariakoo inategemea na bargaining power uliyonayo pia ni vyema ukafanye survey.
 
Inapatikana kariakoo, ila lazima uende na vipimo kulingana na ukubwa wa flemu za milango,ndio uweke order wakutengenezee,bei ni kuanzia 90,000,
 
Nipe vipimo nione ka nnayo store kwangu
 
E
Inapatikana kariakoo, ila lazima uende na vipimo kulingana na ukubwa wa flemu za milango,ndio uweke order wakutengenezee,bei ni kuanzia 90,000,
Elfu 90,000/=, wanatumia mbao gani hao, Nami nahitaji kadhaa
 
Ulitakiwa uambatanishe na picha hicho unachohitaji wewe umetuwekea maneno tupu!
 
Ni mizuri?
Inawekwa ndani siyo nje ina muonekano mzuri tu kama iko sehemu ambayo haina maji na unuevunyevu ni durable.
Kuna mtu alishawahi ipost humu akawa anaiuza.
Pia kuna ya mje yenuewe inakuwa kama bati sema hiyo ni kama laki tano mpaka sita.
Inakuja na frem zake na vitasa pia
 
OK,hiyo ya nje ndo naitaka,unaweza weka bila grill?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…