asante kwa taarifa, Je ukihitaji design nyingine ambayo ni simple zaidi inakuwaje bei mkuu?Kelvin Furniture ni watengenezaji na wauzaji wa Samani za maofisini na Majumbani
milango ya mninga inauzwa Tshs 250,000/= tupo Dar es salaam -
Tabata kimanga - opposite na shule ya msingi kimanga. piga 0754221197. kama unachukua zaidi ya milango mitano bei inaweza kushuka zaidi.
Burundi inawezekana, lakini ni rahisi kusafilisha milango zaidi ya kumi. mlango mmoja itakuwa hasara mkuuKula franc 20 nahitaji mmoja nipo burundii...
Mninga huu lazima uwe na kibali kutoka maliasiliHivi hii miti si inahitaji kibali maalum cha uvunaji?
bei inaweza kupoa zaidi lakini ukihitaji zaidi ya milango mitanoasante kwa taarifa, Je ukihitaji design nyingine ambayo ni simple zaidi inakuwaje bei mkuu?
Tukielewana ntahitaji kama 8 hivi!bei inaweza kupoa zaidi lakini ukihitaji zaidi ya milango mitano
Tukielewana ntahitaji kama 8 hivi![/QU
uende inbox nimekupa maelezo zaidi
[emoji107] ningekutukana ila back tuKula franc 20 nahitaji mmoja nipo burundii...