Milango ya frame ya chuma.

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,930
Wakuu nauliza ile milango ya frame ya chuma ambayo unafunga na kufungua kwa ku slide kutoka chini kwenda juu, inapatikana wapi Dar na viwango vya bei zake vikoje? Natanguliza shukrani.

lol i think we have the same taste. nimetengeneza ya ku slide lakini ni mbao ambayo imekuwa attached na chuma. ebu kajaribu kwa jamaa pale Kawe anaitwa kinyaa, yeye amespecialize kwenye chuma, ila ni mtundu anaweza kukutengenezea unachohitaji.
 
Mrembo, Kawe sehemu gani Mkuu. Unaweza kuniwekea picha ya huo mlango wako?
 
bora umeweka picha mkuu, mi nilidhani unamaanisha alichosema Mrembo hapo juu.
 
Dingswayo bei inategemea na material yatakayotumia, kwa vipimo vyako hivyo jiandae kuanzia laki 7 au 8. Niliwahi kutengeneza la hiyo miaka 2 iliyopita nilitumia laki 6 na ushee hivi hadi kulifitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…