ahmedjuma4 Senior Member Joined Jul 16, 2019 Posts 107 Reaction score 224 Jan 30, 2023 #1 Habari wadau. Naomba niende kweny maada moja kwa moja. Kitaalamu unaweza kushauri mjenzi atumie kipi kati ya mlango wa mbao au chuma Mfano wa mlango wa chuma huo hapo chini
Habari wadau. Naomba niende kweny maada moja kwa moja. Kitaalamu unaweza kushauri mjenzi atumie kipi kati ya mlango wa mbao au chuma Mfano wa mlango wa chuma huo hapo chini
The unpaid Seller JF-Expert Member Joined Oct 27, 2019 Posts 2,319 Reaction score 6,876 Jan 30, 2023 #2 ahmedjuma4 said: Habari wadau. Naomba niende kweny maada moja kwa moja. Kitaalamu unaweza kushauri mjenzi atumie kipi kati ya mlango wa mbao au chuma Mfano wa mlango wa chuma huo hapo chiniView attachment 2500097 Click to expand... Mbwembwe tupu. Mlango ukifungwa unalia mabati bhaaaaa
ahmedjuma4 said: Habari wadau. Naomba niende kweny maada moja kwa moja. Kitaalamu unaweza kushauri mjenzi atumie kipi kati ya mlango wa mbao au chuma Mfano wa mlango wa chuma huo hapo chiniView attachment 2500097 Click to expand... Mbwembwe tupu. Mlango ukifungwa unalia mabati bhaaaaa
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,229 Reaction score 103,332 Jan 30, 2023 #3 Siku hizi wezi hawajisumbui kuvunja milango. Nenda Keko huko hakuna vyuma Wezi hupita dirishani
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 39,696 Reaction score 61,217 Jan 30, 2023 #4 Mbao; kama utapata mninga itakuwa powa zaidi
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,229 Reaction score 103,332 Jan 30, 2023 #5 Tuachane na mageti kama tuko gerezani
OSEFUKANY JF-Expert Member Joined Jan 16, 2011 Posts 2,437 Reaction score 3,906 Jan 30, 2023 #6 HIMARS said: Tuachane na mageti kama tuko gerezani Click to expand... Huku kwetu mchwa ni balaa. Wanatafuna milango,madirisha,makenchi, papi, fremu na chochote cha mbao.Tufanyeje -hatuna namna.
HIMARS said: Tuachane na mageti kama tuko gerezani Click to expand... Huku kwetu mchwa ni balaa. Wanatafuna milango,madirisha,makenchi, papi, fremu na chochote cha mbao.Tufanyeje -hatuna namna.
ahmedjuma4 Senior Member Joined Jul 16, 2019 Posts 107 Reaction score 224 Jan 30, 2023 Thread starter #7 HIMARS said: Tuachane na mageti kama tuko gerezani Click to expand... [emoji16][emoji16]
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,229 Reaction score 103,332 Jan 31, 2023 #8 OSEFUKANY said: Huku kwetu mchwa ni balaa. Wanatafuna milango,madirisha,makenchi, papi, fremu na chochote cha mbao.Tufanyeje -hatuna namna. Click to expand... Hapo naelewa,
OSEFUKANY said: Huku kwetu mchwa ni balaa. Wanatafuna milango,madirisha,makenchi, papi, fremu na chochote cha mbao.Tufanyeje -hatuna namna. Click to expand... Hapo naelewa,