Milango bora ya Mninga na Mkongo

Milango bora ya Mninga na Mkongo

Aisee Ushimen upo free muda huu? Nakuja unipe ile dawa ya kukamata wezi hapa mjini na yale matunguli uliyonipa awali ili nimkamate Mshana Jr bado sijafanikiwa kwani kila akipita hapa nyumbani, anaruka kwa kupitia nyumba za jirani kwangu hapiti.
Lahaulaaa lakwata.......[emoji45] [emoji45] [emoji53] [emoji53]
Mdomo wangu umebaki wazi wallah...[emoji46] [emoji46]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa kama alivyosema hapo juu sio fundi ila dalali kwa haiyo hapo ameshaweka na cha kwake cha udalali

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshamsoma ndio maana na mimi nikamwambia nimeweka hizo bei kutokana na picha ya milango aliyoiweka mwisho kakubali dizain hiyo hiyo unaweza ukuipata sehemu kwa nafuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom