Milango bora ya Mninga na Mkongo

Milango bora ya Mninga na Mkongo

able1986

Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
19
Reaction score
5
Habari za leo wadau,kwa wale ambao mnajenga nyumba kwa ajili ya makazi au biashara basi msisite kututafuta kwa ajili ya kuwapatia milango bora ya mbao ngumu(Mninga na mkongo)Milango yetu tunaitengenezea tabora ila tunaisafirisha popote pale mteja alipo

Bei zetu ni nafuu sana tofauti na wengine kama ifuatavyo:-

Single top pekee...... .........Tsh 350,000/-
Double top pekee...............Tsh 550,000/-
Single frame pekee............Tsh 200,000/-
Double frame pekee...........Tsh 250,000/-
Single frame +top...............Tsh 550,000/-
Double frame +top.............Tsh 800,000/-

email:- adonaimilangoshop@gmail.com

Call/whatsapp +255 625 808 748

Karibuni sana

*note:-bei hizi ni pamoja na usafiri

adonai_milangoshop-20180817-0014.jpg
adonai_milangoshop-20180817-0001.jpg
IMG_20180815_133313.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • IMG_20180815_133228.jpg
    IMG_20180815_133228.jpg
    96.3 KB · Views: 253
Habari za leo wadau,kwa wale ambao mnajenga nyumba kwa ajili ya makazi au biashara basi msisite kututafuta kwa ajili ya kuwapatia milango bora ya mbao ngumu(Mninga na mkongo)Milango yetu tunaitengenezea tabora ila tunaisafirisha popote pale mteja alipo

Bei zetu ni nafuu sana tofauti na wengine kama ifuatavyo:-

Single top pekee...... .........Tsh 350,000/-
Double top pekee...............Tsh 550,000/-
Single frame pekee............Tsh 200,000/-
Double frame pekee...........Tsh 250,000/-
Single frame +top...............Tsh 550,000/-
Double frame +top.............Tsh 800,000/-

email:- adonaimilangoshop@gmail.com

Call/whatsapp +255 625 808 748

Karibuni sanaView attachment 844867View attachment 844869View attachment 844872

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huu si mninga maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa
Je mtu akinunua mbao utamtengenezea kwa bei gani?
 
Hizo milango bei imechangamka sana wenzio single wanauza 300000 double 450000-500000 halafu huo sio mninga
 
Back
Top Bottom