Milambo High School

Juzi j2 madogo wameamsha dude,nahisi milambo kuna shida y ukorofi hauishi?
 
walamboooo_wamojaaaa
kwa wale tulioxoma milambo men(shule ya wanaume milambo) 2juane humu JF kdogo tujikumbushie shule yetuu...milambo (open university) babu msengi akiwa ndo provider mkubwa wa msosi..
yule mzee (msengi) alikuwaga anapika ngumi ya hatari ukileta usenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zoma ana kichwa kikubwa kama tofali la nyati cement, mjinga katili yule ila kwa walambo anatulia
 
students centre,kachelema,disco vumbi,california,mbwa mkali,zaina zaina...

naipenda milambo wanaume..!!!!
 
Reactions: 314
Jamani vumbi lina raha yake tena ukisha piga ngema ya msengi afu ukashushia chai mbwa mkali aah acha fujo ziendelee baba
 
Juzi j2 madogo wameamsha dude,nahisi milambo kuna shida y ukorofi hauishi?
Wakati Niko pale 2002-2004 kuna mwalimu aliniambia tatizo ni jina pale,vijana wanawazimu kama walivyokuwa askari wa mtemi milambo....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati Niko pale 2002-2004 kuna mwalimu aliniambia tatizo ni jina pale,vijana wanawazimu kama walivyokuwa askari wa mtemi milambo....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka Jana tuliamsha dude mtaa wa Mwinyi, asee siwez sahau shule nilifika kwa mbinde nilipaona kama mwanza to dar.
Askari walivimba hatar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…