daaaa kitambooo sana milambo
walamboooo_wamojaaaa
kwa wale tulioxoma milambo men(shule ya wanaume milambo) 2juane humu JF kdogo tujikumbushie shule yetuu...milambo (open university) babu msengi akiwa ndo provider mkubwa wa msosi..
Tulioxoma = tuliosoma.
2juane =tujuane.
Shule ya wavulana milambo sio ya wanaume.
Walambo mpo?,Ila kitaaluma mtasubiri Sana kwa waboyzia
nakumbuka cku tulpoenda t. girls na kuwarushia vnyesi ucku.