milambo na boys ni vitu viwili tofauti. Kwanza angalia nature ya selection. boys ni vichwa wanajitambua kwa nini wameenda shule so lzm wawe wastaarabu na wafanye kile kilichowapeleka. sasa wenzangu na mie wala mboo kwnda shule wamelazimishwa zaidi ya vurugu ili warudi kwao kwa kisingizio cha kufukuzwa shule watafanya nini? Boys is quite excellent guys.
Kumbe wadau wa Milambo mpooo!!! Kuna mdau nimemsoma kuwa alikuwa EGM 2007 ni nani huyo? Maana mimi mwenyewe nilikuwa EGM mwaka huohuo nilikuwa EGM FORM V.
Maana nakumbuka kale kabango kaliko aandikwa DH kuwa "MILAMBO IS THE TOP OF THE TOPS". Nilikuwa bweni la Sokoine, Milembe moja.
zaidi,magwa,mashaka kamera man,mushi pcm,
Sisi tulikuwa pale miaka ya 70. Wanasheria na watawala wengi wazoefu hapa nchini walipitia hapo. Combinations za A level zilikuwa mbili tu za HKF na HKL.Daaahhh...
katika hatua zangu zote za elimu nilizo pitia, kamwe sitosahau milambo,
Ilikuwa mwaka 2007 nilipo kwenda kuripoti kidato cha tano (EGM).. kiukweli kipindi hicho shule ilikuwa imechafuka kwa vurugu, nakumbuka usiku ule nilio ripitiwa, kuna jamaa walipigana chupa za shingoni, daahh dizain kama walikuwa wana chinjana, ww acha tu ile shule nadhani ilikuwa na laana, sio bure!!
Kubwa zaidi sitosahau ule mgomo wa 2008, ilikuwa ni balaa...
YAPO MENGI YA KUKUMBUKWA, ila asante mungu, licha ya changamoto zote hizo, bado Tulifanikiwa kufanya vizuri sana kitaaluma..!!
MILAMBO NDIO CAMP AMBAYO IMENIFUNZA MENGI SANA, PENGINE KULIKO HATA VYUO VYOTE NILIVYO PITIA..!!
Sisi tulikuwa pale miaka ya 70. Wanasheria na watawala wengi wazoefu hapa nchini walipitia hapo. Combinations za A level zilikuwa mbili tu za HKF na HKL.
RIP Ticha ZOMA.... mwite zoma amesoma!!!!!!!!!!!!!
Milambo Mwanaume eeeh