Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,807
- 17,359
Kila idara unamaanisha nini.
kibondo wadau walimshika kalio akalia.2007 nilikua FORM V PCB hatukuwa na mwalimu hata mmoja full tuition ni noma
hahaha Mwanaume hawezi kubeba mavi umbali wa kilomita kama kumi hivi kwenda kupaka visichana tu kisa kazidiwa ujanja na wanaume wenzie.Haahaaaah, nakumbuka katika maharagwe ya shule kulikuwa na wadudu weupe tulikuwa tunawaita waboizia.
Halafu elezea kisa cha kupigwa, kisa hakikuwa disco na girls. Heeheehe
Ila kwenye kimbembe mwinyi mlikuwaga wanyonge sana.
ndiyo maana hajielewi.Mnajua kuwa Lowassa pia ni mlambo?
Mimi nilisoma kipindi cha mabuye kidogo kabla hajafuatiwa na majubwa
kuna kipindi Tulimonopolise warsaw wakawa wanagoma kucheza na walambo nakumbuka kuna ombi walambo walituma wakacheze na wake zetu warsaw wakapiga chini halaf tukawafuata warsaw palepale fullshangwe had ngoma sita walambo wakapiga Bulldance.hahahahahah pole
Ninyi mnazungumzia milambo ya 2007! Mambo yalishapoa sana mbona! Milambo yetu ya 1984 ya headmaster Msemakweli ambaye mkewe ndo alikuwa Principal wa uhazili! Mambo yalikuwa mambo mwulize Richard Katunka reporter wa RFA kigoma! Tulikuwa tunaingia Warsaw tunavotaka wakuu! Jamaa wa boys walikuwa hawatuwezi! Kulikuwa na jamaa anaitwa Kalekezi wa kigoma alikuwa form three alikuwa anaamkia hukohuko kama home kwake tu!
Mnajua kuwa Lowassa pia ni mlambo?
Mimi nilisoma kipindi cha mabuye kidogo kabla hajafuatiwa na majubwa
hahahahh kibondo mzee wa negligence
kuna jamaa kachangia nahisi tulikua tunamuita PAPA mzee wa kungunguni kunguni
katondaraa mnamkumbuka?
poa walambo tupo sana kwa mama shida na kwa mama rama 2007-2010 zito pcm, nyakamuga klf,shaban pcm bwen nyerere n 7 2po pamja sana