Daaahhh...
katika hatua zangu zote za elimu nilizo pitia, kamwe sitosahau milambo,
Ilikuwa mwaka 2007 nilipo kwenda kuripoti kidato cha tano (EGM).. kiukweli kipindi hicho shule ilikuwa imechafuka kwa vurugu, nakumbuka usiku ule nilio ripitiwa, kuna jamaa walipigana chupa za shingoni, daahh dizain kama walikuwa wana chinjana, ww acha tu ile shule nadhani ilikuwa na laana, sio bure!!
Kubwa zaidi sitosahau ule mgomo wa 2008, ilikuwa ni balaa...
YAPO MENGI YA KUKUMBUKWA, ila asante mungu, licha ya changamoto zote hizo, bado Tulifanikiwa kufanya vizuri sana kitaaluma..!!
MILAMBO NDIO CAMP AMBAYO IMENIFUNZA MENGI SANA, PENGINE KULIKO HATA VYUO VYOTE NILIVYO PITIA..!!