Mikutano ya UKAWA yaanza kudorora

Baraka za shetani nimatusi namaovu kama haya walioridhia wana ccm kutoa matusi shetani awabariki tena .
 
Pole Kijana. Nafikiri Ukuangalia Chanel Ten Jana Mkutano Wa Mererani Nyomi Ya Kufa Mtu.

UKAWA Hatupendi Usanii Kama Wa Ccm. Ambao Hawaonyeshi Mikutano Ya Vijijini. Wao Uonyesha Mikutano Waliosomba Watu na Malori.

Sisi Tunaonyesha Mikutano Yote Mijini Na Vijijini Hakuna Usanii Hapa.

Lakini Mwisho Wa Siku Mtamtambua Lowassa Ni Nani, Pamoja na Kusomba Watu Ili Kushindana Kujaza Nyomi. Lazima oct 25 Mtage.
 
Waimba taarabu wamefanya nn toa ujinga na bichwa lako lililojaa sisimiz
 
Jamani sio kila sehemu inalingana idadi ya watu.... mikoa hutofautiana ukubwa na idadi.. na pia wale watu hawapewi hela wala usafiri wao wanasafiri kivyao kabisa kwa nauli zao...
Kule upande wa Pili wajaribu bila wasanii waone kitachotokea
 
Sisi ukawa hatusombi watu kama nyie .watu wanakuja wenyewe na wanaondoka wenyewe nyie mnapatashida sana mnadhani kuwajaza kwenye mikutano ndio mtapata kura? Subirini anguko LA ccm Mwaka huu
 
Ccm ndo wamemtuma magufuli kushangaa waliyotufanyia ili kuchukua nchi tena. ama kweli watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
utekelezaji hautaki longolongo nyingi za makufuli. eleza ukweli kwa muda mfupi subiri utekelezaji. PIMA SERA USIPIME MUDA UTAJISHUSHA
 
Sisi ukawa hatusombi watu kama nyie .watu wanakuja wenyewe na wanaondoka wenyewe nyie mnapatashida sana mnadhani kuwajaza kwenye mikutano ndio mtapata kura? Subirini anguko LA ccm Mwaka huu

sawa,ccm wanasomba watu,sijui wanatumia fuso na wasanii sawa,kama inawapa matokeo mazuri tabu iko wapi?,mtaendelea kulalamika ccm wanasomba watu nao wataendelea kuwashinda kila siku,,,maana hamna strategy,kazi kuponda na kujipiga kifua bure
 
Kuhusu hili kiongozi mimi naona majibu yashapatikana. Watu wanaohudhuria kwenye mikutano yote ni wale wale. Mgombea mmoja anawabembeleza kwa matamasha, na usafiri (wakati mwingine hadi malipo), mwingine anafuatwa kwa mapenzi ya wananchi na nyomi zinalingana.

Sasa kwa akili yako ndugu goodluk5 unafikiri nini kinaendelea?
 
Last edited by a moderator:

mkuu hata ratiba siku hizi ni za kushtukuza.. ratiba maalum haipo
 
ngoma nyeupeee kwa dkt magufuli kwani hatuwezi kumpa nchi mtu asiyekuwa na uwezo wa kuzungumzia hatma ya nchi yetu dhidi ya masuala kadha wa kadha ya nchi yetu
Tungekuwa tumeendelea sana kwa umahiri wenu wa kudanganya kwa hotuba za masaa matatu. Muulize Kikwete katekeleza nini na ahadi zake ndefu za kujenga viwanja na mahospitali plus kununua bajaj za waja wazito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…