Mnyasa originally
Member
- Feb 7, 2014
- 82
- 8
Hatimaye Jeshi la polisi Zanzibar limezuia mikutano yote ya kisiasa kwa hofu ya kiusalama,UKAWA na UVCCM wavurugiwa mipango yao!
Mbona hili lilifahamika mapema tu, kama Wakiristu tunavyofahamu kwamba Bwana yetu Yesu Kiristu alikufa Jana (ijumaa kuu) na atafufuka kesho Jumapili (siku ya Pasaka). CCM wanakimbia kivuli chao, na wote tunafahamu hatima yake, it is only a matter of time.
hongera sana Jeshi la polisi Zanzibar. Hawa maliberali wanataka kutuvurugia nchi yetu

kwahiyo waseme SUNGUSUNGU znz wazuia mikutano ya siasa.Tofautisha askari na sungusungu, kuna nchi zina askari wanaofanya kazi professionally na zingine zina sungusungu wanaofanya kazi blindly
kwahiyo hao sungusungu wamefyata kwa uamsho sio?Hivi wewe unawajua uamsho wewe? Usikimbilie kuilamu polisi na ccm tu bila kuona uzito wa tatizo. Hao uamsho ni noma! We nenda na ulokole wako huko upeleke vi maneno vyako vya ajabu ajabu utawajua vizuri. Msipende kuilaumu serikali kwa kila kitu eti tu kwa kuwa nyie ni chadema, fikiri kwanza.
Endeleeni kujidanganya. Kuchanganya siasa na dini ni udini