... Umeuliza why mikoa ya Morogoro na Pwani, jibu ni kwamba mikoa hii kwa uzoefu wangu hawana uthubutu wa kukabiliana na wafugaji, na pia wako divided - viongozi wa kijiji na vitongoji wabashirikiana na wafugaji kuwahujumu wananchi wao. Wafugaji kwa hakika maeneo haya huwa wanatamba wapendavyo...Pole sana Majeruhi!
Halafu mbona kama hii trend inazidi kushika kasi?haiwezi pita siku bila kusikia au kuona habari yenye tukio la purukushani kati ya wakulima na wafugaji?
Na ukafuatilia cases nyingi 4 kati kumi,unakuta ni mikoa ya pwani na morogoro?
Kwanini iwe mikoa hii zaidi?
Serikali ifanye kazi yake kuhakikisha watuhumiwa wanafikishwa kwenye sheria ili haki itendeke!
Na nampa hongera huyu mkulima,huyo mkuki,ingekuwa ni wengine wangeshakufa!Huu ujasiri aliyonao wapaswa kupongezwa!
Pole pia Prof J,na hongera kwa kutetea masilahi ya mpiga kura wako!
Wamasai hawana tofauti kama ilivyo polisiccm dhidi ya wapinzani wa cicimHawa wamasai inabidi watolewe huko mbugani waje kuishi mtaani maana akili zao zimeanza kuwa kama wanyama na zinazidi kuharibika na wengine wanaongezeamo na misifa ...
Ulikuwa na ushauri gani hapo? Naona umelalamika tu!?mijitu iko bize kupiga picha jamani!!????
mmhh... anataka wengine wasioneUlikuwa na ushauri gani hapo? Naona umelalamika tu!?
Kweli unaichukia CCM na serikali yake mpaka kuifananisha na tukio.Wamasai hawana tofauti kama ilivyo polisiccm dhidi ya wapinzani wa cicim
Dawa ni kuua mifugo yao kwa njia zozote maana wao wamekuwa wakihama toka mikoani kwao kuja mikoa mingine kuwasumbua wenyeji.Jamani hawa Wamaasai Tuwafanye nini? mbona ni makatili sana. Nafikiri Serikali itachukua Adhabu kali kwa jamii hii ya kimasai (Wafugaji)
Pole sana Ndg yetu, Mtanzania mwenzangu.