Mikopo

Mh2

Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
90
Reaction score
11
Wakuu mwisho wa kuomba mkopo kwenye bodi ya mikopo ni lini?
 
Wakuu mwisho wa kuomba mkopo kwenye bodi ya mikopo ni lini?

Jaman mdogo wangu hadi nakuonea huruma, maombi ya mkopo yarianza tarehe 2may hadi tarehe 30june lakn waliongeza mda tena hadi tarehe 31july
Jamani mdogo wangu pole sana kwakuchelewa kupata taarifa lakn Mungu atakuonyesha njia nyingie sawa
 
Aisee isingekuwa sheria ya mitandao ungekiona cha mtema kuni huwezi kuwa mpumbavu hivyo
 
niishie kucheka tu... ila ww huwez kua serious kias hcho... kama ni kwel unawadhalilisha hao wenzako wa brn... pole lkn ndo hvyo hkn tena kuapply lbd mpk mwakani
 
Mnazani wote tunakaa mjini? Wengne tumemaliza foim 6 na kwenda kijiji kuchunga ng'ombe zaidi ya kilomita 320 kuja mjin. Na huku kwa babu ni zamu kuchunga ng'ombe. Kilichonisaidia kusoma ni yeyebo. Juz ndo nimepata hela na kununua haka ka cmat fone ndo nikaona nijiunge jf na kuuliza. Munanilaumu mimi ama selikari ya kikwete? Hapa ndo tulpofkshwa na serikali kziwi na kpofu.
 
Mwisho ni utakapo maliza masomo ya elimu ya juu na kuhisi hauhitaji mkopo tena
 

uza ng'ombe ukasome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…