Itakua ni vinyonya dam labda....🙄Ni vigari vya kina nani huko Dar?
ivi vigari vinanini?vimekufinya wapi mkuu..??
Matajiri kutoka kusini mwa jangwa la Sahara kausha damu hawaNi vigari vya kina nani huko Dar?
Sema dawa ya deni ni kulipa mkuu 😁😁😂Usithubutu hata 👌🏾 kwa hawa jamaa aiseeh, wee acha tu! 😂View attachment 2995986
hata sijui ngoja mweka mada atujuze!ivi vigari vinanini?
vya Tundu lissu, chadema walichanga akavinunuaNi vigari vya kina nani huko Dar?