baraka william
Member
- Aug 31, 2016
- 20
- 23
Vipi wadau loan board wameshatoa majina ya 2019/20?
Una haraka,,tuliza mshono mshikajVipi wadau loans board wameshatoa majina ya 2019/20?
Mkopo wanatoa trh 15 au 17,, ndo hvyOk asante mkuu kwa taarifa
J3 hawafany kaz ni nyerere dayWanatoa jumatatu.
Ok asante kwa hiloMkopo wanatoa trh 15 au 17,, ndo hvy
Dah watu mna majibu ya kunya🤣Una haraka,,tuliza mshono mshikaj
J3 ni trh 14 wwNyerere day ni jumapili sio jumatatu
Mkopo ni leooo trh 17October 17 mkuu officaly announced
Vipi kijana ushaupata tayari mkopo.Mkopo ni leooo trh 17
orodha ya waliopata mkopo tayari?October 17 mkuu officaly announced
weka linkTayari washatoa
Aweke link jamaniweka link