NEXTLEVEL JF-Expert Member Joined Jan 19, 2012 Posts 857 Reaction score 396 Jul 5, 2013 #1 Wadau napenda kujua NSSF wanatoa mikopo kwa wanachama wake kupitia SACCOS zipi maana nimeulizia nyingi wanasema hawajaunga na nao. Asanteni.
Wadau napenda kujua NSSF wanatoa mikopo kwa wanachama wake kupitia SACCOS zipi maana nimeulizia nyingi wanasema hawajaunga na nao. Asanteni.
D Diver Member Joined Jul 27, 2012 Posts 16 Reaction score 2 Jul 5, 2013 #2 Tembelea ofisi zao utapata maelezo zaidi Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,134 Jul 5, 2013 #3 Saco unatafuta wewe unawashawishi mnajiunga idadi ambayo mnaweza kuanzia hamsini milioni ambacho ndio kima cha chini wanachotoa nsse them saco wakitimiza masharti wanapewa hizo hela wanawakopesheni nyie.
Saco unatafuta wewe unawashawishi mnajiunga idadi ambayo mnaweza kuanzia hamsini milioni ambacho ndio kima cha chini wanachotoa nsse them saco wakitimiza masharti wanapewa hizo hela wanawakopesheni nyie.