Mikopo ya HESLB

Mikopo ya HESLB

hatedthemost

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2021
Posts
470
Reaction score
328
Kuna mtu humu kafanikiwa kutuma maombi ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu?
 
Mimi hapa; nimeprint form nikascan na ku submit; Ila Kuna badhi ya account za mwanzo ambazo zilisumbua ku submit baadhi ya vipengele mpaka leo in load tuu, ila kwa wanaoanza sasa hivi unalipia form hadi kuiprint usumbufu ni kidogo.
 
Mie demographic data mkoa tu inaload mpka leo sijui nifanye nini jamani
 
Mimi hapa; nimeprint form nikascan na ku submit; Ila Kuna badhi ya account za mwanzo ambazo zilisumbua ku submit baadhi ya vipengele mpaka leo in load tuu, ila kwa wanaoanza sasa hivi unalipia form hadi kuiprint usumbufu ni kidogo.
Mkuu umeituma kwenye email Yao au
 
Back
Top Bottom