Serikali ipo sahihi, kuamua hivyo ni ishu yake kwamba hilo ndo eneo lake la uhitaji, haiwezi ikasema isomeshe Fani ambazo haizihitaji, sasa shida inakuja pale ambapo wewe unashindwa kujua malengo yako ni nini na namna gani nyingine unaweza kuifikia ukaamua kusoma edctn ili upate mkopo.