elia stephen
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 263
- 81
Wakuu habarini za saa hiz?nnaomba kuuliza mwenye uelewa kuhusiana na calculation za mikopo ya benk maana jana nmeahindwa kuelewa mpaka nikasitisha mkopo kwanza.nikwamba wanasema calculation tunazotumia sisi wateja ni tofauti na calculation za kimikopo.yaani nlitaka wanikate 93900×12×5=5634000.Kwa kuwa nilikuwa naover lap ilibidi watoe 2020000. Ambapo ingebaki 3614000.ukitoa asilimia 22 ya hii pesa inabaki 2818920.sasa mimi wananipa take home 1090000.wakuu msaada pls nielewe.