Katika hali ya uhalisia hakuna mtanzania mwenye kipato cha chini ambaye atatoboa maisha kwa riba hiyo.
Yaani ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano.
Hivi karibuni kuliibuka watu wanaokopesha kwa riba ya 30% na wengine 20%. Siku hizi kwishnei, baada ya mabenki kuleta salary advance. Mfano CRDB ni 5%. Unatusua laki mbili unakatwa riba 10,000. na unaweza kufanya hivyo kila mwezi mpaka utakapostabilize kiuchumi.