Mikopo inatolewa kwa watumishi wa serikalini kuanzia 60,000 mpaka 10,000,000.
Pesa hiyo unaweza kuilipa ndani ya mwezi 1, 3, 6, 9, 12, 15, 18, 24, 36, 48 Hadi 60 yaani miaka mitano(5) kulingana na uhitaji wako.
Kigezo kikubwa cha kupata mkopo unatakiwa uwe mtumishi wa serikalini, hivyo sisi tutaitaji passport moja ya karibuni, nakala ya kitambulisho Cha kupigia kura au Cha taifa, nakala ya kitambulisho Cha kazi au barua ya mwajiri, nakala ya kadi ya bank, bank statement ya angalau miezi 3 pamoja na salary slip, unapomaliza kujaza form tu kila kitu tunashuhulikia sisi na baada ya masaa 24 toka isainiwa na mwajiri utakua umepokea pesa yako bila Usumbufu,
Unapochukua mkopo wa miezi michache makato yanakua makubwa kidogo lakini riba ndogo, na ukichukua wa miezi mingi riba huongezeka kidogo na makato hupungua.