mwaka huu mikopo haitachelewa kuingizwa kwenye akaunt za wanafunzi,hii ni kupunguza maandamano ya wanafnz na maandalz ya uchaguz 2015,chanzo mdau wangu loan board.
mwaka huu mikopo haitachelewa kuingizwa kwenye akaunt za wanafunzi,hii ni kupunguza maandamano ya wanafnz na maandalz ya uchaguz 2015,chanzo mdau wangu loan board.
:blabla:
hivi hili jukwa lina MODERATOR kweli maana verification ya habari huku ni sifuri kwanini wanashindwa kumoderate hizi habari za hili jukwa zinajaza server kwa kweli msipende kutiana pressure tunakubali una uhuru wa kuzungumza unachosikia ila angalia kama kina kwa wakati wake..
HII HABARI YA LOAN BOARD WADOGO ZANGU MNGEKAA MTULIE SYSTEM YA KITANZANIA TUNAIFAHAMU UZEMBE KWA KWENDA MBELE ... WANA EXCUSE NYINGI KULIKO KAWAIDA ... MAJINA LAZIMA WATOE TU NA HARAKA IWEZEKANAVYO MARA NYINGI WANATEGESHEA VYUO VYA SERIKALI VIKARIBIA KUFUNGUA NDIO WANAUZIMA HUU MOTO MAANA WANAJUA HUWA HAKUKALIKI..
Wat i think we nid to b sirias kama huna taarifa yenye uhakika kaa kimya maana sisi tunataka taarifa makini zenye kutusaidia.Sio ilimradi upost demu wako aone.
taarifa yyte ninayo ipata lazma iwe public kwa wanajamvi,in case mkopo ukatoka hata leo,inshu inabak palpale kuwa pesa inakua deposited kwenye acounts haraka sana.
Join Date : 11th August 2012
Posts : 87
Rep Power : 323
Likes Received3
Likes Given7
HIVI MODS MNARUHUSU HUYU MTU WA FACEBOOK KUWEKA AVATAR YA SEHEMU ZA SIRI ZA MWANAMKE? UDHALILISHAJI HUU....HATA MAANDISHI YAKE YANAONYESHA NI MTOTO WA FACEBOOK SIO GREAT THINKER....