chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,981
Huyu jamaa naona anafanya biashara ambayo hana maarifa nayo kabisa, eti riba ni 0.3%, kama una mtaji ungeajiri mtu akufanyie hiyo biasharaMkuu hii 0.3% una maana sifuri nukta tatu au asilimia thelathini
Hahahah mbavu sinaVyeti vinakubalika kuweka kama dhamana?
mimi ni civil &God servant nimekopa benk nafanya biashara zangu tu sihitaji mkopo kwasasa.Niliwahi kuona mjamaa mmoja inachukuliwa harrier yake kwakushindwa kulipa ml.5 ,ikalazimika waumini wenzake tumchangie ili kuinusuru mali yake.Tulipofuatilia tukagundua kuwa yule mtu ndiyo ulikuwa mchezo wake kukopesha pesa kwa wenye uhitaji huku wakiweka rehani za mali zao then hufunga kishirikina kipato cha mtu ili mdaiwa ashindwe kukomboa mali yake kisha huiuza kwa faida kubwa. Harrier aliyoitumia kwa mwaka mmoja ilitaka kupotea kwa ml.5Kama wewe ni mtumishi wa serikali na bado una imani hizo kuna tatizo. Hoja yako haina Nguvu hata kidogo kubaki na dhamana iwapo mkopaji atashindwa kulipa ni hasara kwa mkopeshaji vitu haviuziki ndg yangu. Vile vile kuwa mtumishi haimaniishi kwamba ukope bila dhamana ukitumbuliwa nitakupata wapi? Mwisho nakushauri achana na imani hizo za kishirikina mwamini Mungu wako kama kuna watu wanafanya hizo watashindwa. Siku njema.
Si unatafutia kazi!!..Nataka kitu ambacho kinaweza kuuzika iwapo utashindwa kurejesha. Kwa mfano umeshindwa kurejesha na dhamana yako ni cheti kitanisaidiaje kwenye kurejesha ?
mimi nimeajiriwa nahitaji laki moja tu nitarudisha 130,000. sina mali ya kuweka ila utakuja tukabidhiane ofisini na nitakupa document za muhimu. inawezekana?? Alex Protase
Bullsh*tmimi ni civil &God servant nimekopa benk nafanya biashara zangu tu sihitaji mkopo kwasasa.Niliwahi kuona mjamaa mmoja inachukuliwa harrier yake kwakushindwa kulipa ml.5 ,ikalazimika waumini wenzake tumchangie ili kuinusuru mali yake.Tulipofuatilia tukagundua kuwa yule mtu ndiyo ulikuwa mchezo wake kukopesha pesa kwa wenye uhitaji huku wakiweka rehani za mali zao then hufunga kishirikina kipato cha mtu ili mdaiwa ashindwe kukomboa mali yake kisha huiuza kwa faida kubwa. Harrier aliyoitumia kwa mwaka mmoja ilitaka kupotea kwa ml.5
Hafahamu anachokiandika haiwezekani 0.3% ribA?Huyu jamaa naona anafanya biashara ambayo hana maarifa nayo kabisa, eti riba ni 0.3%, kama una mtaji ungeajiri mtu akufanyie hiyo biashara
Hapo cha ajabu ni nini? Riba ndio hiyo kwa maana ya 0.003 inasemaje hapo, umezoea kipigwa 50%Hafahamu anachokiandika haiwezekani 0.3% ribA?