Mikopo Kwa wafanyabiashara

Mikopo Kwa wafanyabiashara

MR KWACHA

Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
84
Reaction score
73
Habari

Nikiwa kama afisa mikopo ambaye nimefanya kazi ya mikopo katika taasisi mbalimbali za kifedha hapa nchini ninawakaribisha wafanyabiashara kuweza kuomba mikopo

Kiwango Cha kukopa huanzia milioni moja hadi billion Moja

Muda wa mkopo ni miezi mitatu sita 12 na 24

Riba ni asilimia 3.5

Mdhamana ni KADI YA GARI hati ya nyumba au Kiwanja Toka serikalini
Ninawakaribisha wafanyabiashara wote wakubwà na wadogo na makampuni kuja kukopa kwani nitakusaidia kupata mkopo Kwa urahisi na Kwa wakati

0686153806
 
Mkopo wa billion moja, collateral ni nyumba yenye thamani ya billion Tano,
Kama uko serious na unaweza nicheki mkuu.
 
Kwa kiwanja che hati ukubwa 25 Kwa 25 meter MTU huyu anakopa MPAKA kiasi gani
Inatokana na eneo kilipo maana kinaweza kuwa kijijin thamani yake ikawa ndogo na kikiwa mjini thamani yake inakuwa kubwa
Location matters
 
3.5 interest ni very good deal, ila kama hamna uhakika wa kulipa chonde chonde msije mkapoteza nyumba
 
Habari

Nikiwa kama afisa mikopo ambaye nimefanya kazi ya mikopo katika taasisi mbalimbali za kifedha hapa nchini ninawakaribisha wafanyabiashara kuweza kuomba mikopo

Kiwango Cha kukopa huanzia milioni moja hadi billion Moja

Muda wa mkopo ni miezi mitatu sita 12 na 24

Riba ni asilimia 3.5

Mdhamana ni KADI YA GARI hati ya nyumba au Kiwanja Toka serikalini
Ninawakaribisha wafanyabiashara wote wakubwà na wadogo na makampuni kuja kukopa kwani nitakusaidia kupata mkopo Kwa urahisi na Kwa wakati

0686153806
Hiyo Riba 3.5 ni kwa Mwaka au kwa mwezi?
 
Kwa mwezi
Kwa mwezi? so effectively mna charge 42% and some fees I’m sure, na kama mnatumia compound interest ni zaidi ya 50%, najua mnajaribu kujipa cover from losses lakini hiyo rate ni kama predatory lending,mikopo kama hiyo ni illegal nchi nyingi, nafikiri hata under licence from BOT kuna cap you can charge, duh bongo kutoboa ngumu sana, 50% interest, kodi, corruption, wakuibie etc tusahau maendeleo
 
mkuu acha kulalamika ni reducing balance method
 
Back
Top Bottom