Mikopo kwa kozi za diploma 2017/2018

Kalemataka

Member
Joined
Aug 19, 2017
Posts
48
Reaction score
10
Thread hii maalumu kwa ajili ya kuuliza maswali kuusu mikopo kwa kozi za diploma 2017/2018. Kama vile jinsi ya kuapply na kozi zinazopewa Mkopo. Weka swali lako utajibiwa na watu wenye ujuzi




Pamoja tunalijenga taifa
 
Kozi gani ya diploma unapewa mkopo hiyo ebu tutajie kwanza izo kozi maana wengine hatujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…