CRITICS
1. Cheti cha graduate ndio collateral , vp akishindwa kurejesha mkopo watafanyia nini vyeti?, wakat huohuo kupata ajira kwa kijana inaweza kuwa namna ya kulipa deni, atapataje na vyeti vimechululiwa?
2.KIASI CHA SH.BIL 1 KIMETENGWA.
Hivi hii project ni ya Bil.1 kweli? Halaf unaambiwa kikomo cha kukopa ni 50m kwa individual & 200m kwa vikundi.
Kwani bil ni sh. ngap?
(1000m), kwa mfano km individuals wakataka mkopo had maximum (1000/50= 20 people ) au vikundi (1000/200 = 5 groups)
Sasa sijaelewa hii 1 Bil Ina maana gani?, ni fedha ya mafunzo?
Kwa kuangalia idadi ya graduates wanaojitokeza ktk interviews mbalimbali na kiasi hicho cha pesa haviendani
Km kweli hiyo pesa ndiyo imetengwa, wataongeza tatizo juu ya tatizo, malalamiko kibao na RUSHWA kwny utoaji wa mikopo. Hata Bil 10 haitoshi