Nangose 1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 7,207 Reaction score 6,786 Mar 21, 2025 #1 Wakuu naomba kufahamu namna ya kukopa mkopo Hazina kwa watumishi wa Umma.. Nasikia huko hazina hakunaga Riba. Ahsante.
Wakuu naomba kufahamu namna ya kukopa mkopo Hazina kwa watumishi wa Umma.. Nasikia huko hazina hakunaga Riba. Ahsante.
presider JF-Expert Member Joined Feb 26, 2013 Posts 1,420 Reaction score 1,878 Mar 21, 2025 #2 Pale Hazina kuna Saccos. Unatakiwa kujiunga kwanza ndio uanze kukopa
D denismk New Member Joined Dec 8, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Mar 29, 2025 #3 presider said: Pale Hazina kuna Saccos. Unatakiwa kujiunga kwanza ndio uanze kukopa Click to expand... Unajiunga kwa muda namna gani
presider said: Pale Hazina kuna Saccos. Unatakiwa kujiunga kwanza ndio uanze kukopa Click to expand... Unajiunga kwa muda namna gani
presider JF-Expert Member Joined Feb 26, 2013 Posts 1,420 Reaction score 1,878 Mar 30, 2025 #4 denismk said: Unajiunga kwa muda namna gani Click to expand... Ukienda pale Hazina watakupa Details zaid
denismk said: Unajiunga kwa muda namna gani Click to expand... Ukienda pale Hazina watakupa Details zaid
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 6,141 Reaction score 6,359 Apr 12, 2025 #5 Kupata mkopo hazina sio lazima ujiunge na saccos wasiliana na afisa utumishi au mweka hazina wa taasisi Yako.
Kupata mkopo hazina sio lazima ujiunge na saccos wasiliana na afisa utumishi au mweka hazina wa taasisi Yako.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,496 Reaction score 185,685 Apr 12, 2025 #6 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw