DOR_CAS Member Joined Oct 14, 2012 Posts 6 Reaction score 0 May 22, 2013 #1 samahanini jamani,naomba kujua kama mikopo watu wameshaanza kuomba,au habar yoyote kuhusu hili
mkwawa gabriel Senior Member Joined Apr 7, 2012 Posts 100 Reaction score 23 May 23, 2013 #2 DOR_CAS said: samahanini jamani,naomba kujua kama mikopo watu wameshaanza kuomba,au habar yoyote kuhusu hili Click to expand... Subiri matokeo matokeo bado den unataka uombe mkopo wa nn?wakati matokeo bado kuwa na subila matokeo yakitoka den wataruhusu kuomba mkopo
DOR_CAS said: samahanini jamani,naomba kujua kama mikopo watu wameshaanza kuomba,au habar yoyote kuhusu hili Click to expand... Subiri matokeo matokeo bado den unataka uombe mkopo wa nn?wakati matokeo bado kuwa na subila matokeo yakitoka den wataruhusu kuomba mkopo
MUSONI JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 904 Reaction score 692 May 23, 2013 #3 JKT kwanza then , application centrally ukipata admission ndio..Mkopo bado kamchakato...!! Kaza buti subira.
JKT kwanza then , application centrally ukipata admission ndio..Mkopo bado kamchakato...!! Kaza buti subira.