Tafuta Internet Cafe, zipo internet Cafe zina uzoefu wa kusaidia wanafunzi kwa umakini Katika kujaza hizo form, utawalipa kidogo na shughuli yako itakuwa nzuri maana kuna makosa mnafanya kujaza hizo form mwisho wa siku muda mliopewa unaisha bila kujaza form