Gabrieli lucas
Member
- Nov 22, 2017
- 37
- 16
Jamani wana jf kwa napenda kuuliza hivi kwenda kujaza form za mkopo ni mpaka uende internet cafe au kuna njia nyingine
Kama jina haliendani bora ukarekebishe mapema tuuuOkay nashukuruuu na vipi kuhusu HIV vyet ya kuzaliwa chet changu kina upungufu wa heruf 1 kweny jna
Hiv inaweza ikanleteaa shidaa eee
Vpi kwani hicho cheti cha kuzaliwa siwezi kwenda kukirekebishia uko Rita au inawezekana kwenda kuchukua kingine moja kwa mojaMajina panatakiwa yalandane kwenye vyet vyote cha kuzaliwa, fom four, fom six, n. K
Unaweza, wahiVpi kwani hicho cheti cha kuzaliwa siwezi kwenda kukirekebishia uko Rita au inawezekana kwenda kuchukua kingine moja kwa moja
Kurekebxhaa sioooUnaweza, wahi
Ayaaa ngj nkaafwatilie. RITAKarekebishe idara husika
We Jamaa slow learner eeKurekebxhaa siooo
It might beWe Jamaa slow learner ee
Saa nyingine mtu atakuwa hana nafasi ya kuzungumzia jambo mara mbili, it seems huamini kile ulichoshauriwaIt might be
Sijui jamaa kamaliza advance ya wapi??..anaandika kama mtoto wa form one