Mikono mitatu kapi moja 3 mzuka

KXY

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
882
Reaction score
344


Oktoba 5, 2017 21:00
 
Aiseee....hivi hii bahati nasibu ni kweli au wanapeana kwa maana mimi siamini amini
 
Aiseee....hivi hii bahati nasibu ni kweli au wanapeana kwa maana mimi siamini amini

Angalau katika zote hii inaeleweka zaidi japo chochote kinachosimamiwa na binadamu kinategemea uaminifu wa msimamizi
 
Hiyo namba ukiifuatilia viuri unakuta ni ya jamaa yao,
Huu mchezo siuelewagi aisee,
Hivi hizo namba wanazichaguliaga wapi??
Wanakuaga na nani humo ndani??
 
Hiyo namba ukiifuatilia viuri unakuta ni ya jamaa yao,
Huu mchezo siuelewagi aisee,
Hivi hizo namba wanazichaguliaga wapi??
Wanakuaga na nani humo ndani??

Inaonekana kama ipo 'automated' kwasababu kila saa washindi wanarushwa kwenye tovuti bila kuchelewa, sasa kuhusu namba ya ushindi inavyopatikana sijajua wanafanya vipi.

Najiuliza pia kuhusu udukuzi kwenye hiyo 'system' yao, haiingiliki?
 
There's no shortcut to the peak unless you have wings you can fly!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…