Mikoa ya kusini vipi hakuna wapiga kura? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikoa ya kusini vipi hakuna wapiga kura?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mtemiwao, Sep 26, 2010.

 1. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumeshuhudia kikwete(wengne wanatanguliza dr)baada ya kuanza kampeni kituo kilichofata mwanza,leo tena naona yupo mwanza kulikoni?dr slaa nae tumeona baada ya dsm mojawapo ya vituo vilivyofata ni kanda ya ziwa,hawa wagombea hawajaenda kusini kulikon?ina maana lipumba aliyekaa mwezi mikoa ya kusini alikuwa anapoteza muda?mwenye data ya mgawanyiko wa wapiga kura wa nchi hii atuhabarishe tujue kama mgombea urais akiweza kuteka kanda moja kama anaweza kuwa rais VOTE 4 CHANGE
   
 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Kwa idadi ya watu mikoa ya Mwanza na Shinyanga ndiyo most populous in the country. Kwa hiyo ukiiteka hiyo kwingine utakuwa unatafuta kura za kujazia. Vile vile mikoa ya kanda ya Ziwa ina misimamo ya pamoja. Ukifanikiwa kuiteka block yote basi wewe ni mshindi. CCM wanalijua sana hilo hata kwenye vikao vyao wanalizingatia. Ila kuna njama zisizoandikwa kwamba mikoa hiyo haiwezi kutoa rais. Rais, hasa kwa CCM, yamejengeka mazoea au njama kwamba rais lazima atoke ukanda wa pwani - Mwinyi, Mkapa, kikwete. Inawezekana anayefuata ni Membe. Hii haipendezi kwa ukanda wa Ziwa na inawafanya kuwa na mshikamano. Ili uwe rais lazima uwe na mbinu za kuwalainisha. N
   
Loading...