Mimi nimebahatika kufika mikoa hiyo yote hapo.kwa mzunguko wa pesa naweza sema hivi
1.Njombe
2.Geita
3.Songwe
4.Manyara
5.Katavi
6.Simiyu
| Rank | Region | GDP per capita in TSh. /= |
|---|---|---|
| 1 | Dar es Salaam | 4,348,990 |
| 2 | Mbeya Region | 3,506,101 |
| 3 | Iringa Region | 3,360,551 |
| 4 | Njombe Region | 3,317,698 |
Unaujua mkoa wa Geita?Hapo Mkoa wenye maendeleo ni Njombe tu,mengine yote ni vijiwe vya kahawa
Mkuu huko katola kunapatikana nn nasie tuzamie hukooo?1. Geita (kuna chimbo linaitwa Katola)
2. Manyara (Babati ndio kila kitu)
3. Songwe.
Kakola haipo geita ipo shinyanga chief.Ni kakola siyo katola.
Kwa ujumla kwa mikoa mipya Geita inaongoza kwa kuwa na uchumi mzuri tena kushinda hata baadhi ya mikoa ya zamani kama Kagera na Singida.
Halafu Tanga Itabaki na Nini??Pangani
Korogwe
Kilindi
Handeni jiji na Handeni vijijini
Na mimi pia nilitaka kuanza kumshukuru sana mamaNilijua Samia kaanzisha mkoa mpya "Mkoa wa Samia"
Simiyu na Geita ni maarufu sana kwa kuzalisha waganga wazuriWataalamu wa kuijua nchi yetu ya Tanzania ni mkoa mpya upi kati ya ifuatayo ambao uko vizuri kimaendeleo au kiuchumi?
1. Simiyu
2. Geita
3. Songwe
4. Manyara
5. Katavi
6. Njombe
Muheza Ni wilaya Ndogo sana!Tanga mji
Lushoto
Muheza
Lushoto mbona umeiacha, Lushoto ni kubwa sana Ina majimbo karibia matatu au manneMuheza Ni wilaya Ndogo sana!
Tanga Mji Ni Wilaya Ndogo Sana..
Bado Idadi ya Watu haiwezi kukidhi Kuitwa Mkoa kwa Wilaya Tatu
Lushoto Walishaigawa Kwa Sasa Kuna Wilaya Ya BumbuliLushoto mbona umeiacha, Lushoto ni kubwa sana Ina majimbo karibia matatu au manne
Jumla zinakuwa wilaya nne zinatosha izo kutengeneza mkoa wa TangaLushoto Walishaigawa Kwa Sasa Kuna Wilaya Ya Bumbuli
Hivi huyu kapuku Lucas amepona?Akina Lucas Mwashambwa wale ni masikini kupita kiasi
Bumbuli siyo Wilaya ni Halmashauri tu.Lushoto Walishaigawa Kwa Sasa Kuna Wilaya Ya Bumbuli
Hivi Unajua Tanga Ina Ukubwa Gani??Jumla zinakuwa wilaya nne zinatosha izo kutengeneza mkoa wa Tanga
Maana mikoa aliyoitaja mkuu hapo ina zaidi ya miaka 13.Nilijua Samia kaanzisha mkoa mpya "Mkoa wa Samia"
Ilipitishwa Kutoka katika Halmashauri zilizopaswa Kupandishwa Hadhi kuwa Wilaya Ikiwemo Halmashauri ya Ushetu na Msalala zilizokuwa Wilaya ya Kahama Iliyoko Mkoa wa Shinyanga..Bumbuli siyo Wilaya ni Halmashauri tu.
Tanga kubwa sana mkuu Kuanzia handeni, Kilindi,pangani,korogwe,Kilindi, Muheza, Lushoto, na Tanga mji wilaya ya Handeni na Lushoto ni kubwa sanaHivi Unajua Tanga Ina Ukubwa Gani??
Kwanini Wasiigawe Tabora au Morogoro Kuliko Tanga??