Geita ipo vizuri hasa Wilaya ya Geita na Mbogwe, ukiachilia Katoro ambao ni mji mkubwa kabisa hasa ki biashara, centre nyingi kama Runzewe, Bwanga, Nyarugusu, Nyawilimilwa ,Kakubilo, Nkome, n.k zinakua kwa Kasi.
Ni kakola siyo katola.
Kwa ujumla kwa mikoa mipya Geita inaongoza kwa kuwa na uchumi mzuri tena kushinda hata baadhi ya mikoa ya zamani kama Kagera na Singida.