Mikhail Kalashnikov mtengenezaji wa silaha AKA 47 uliyefuta zama za panga na mishale

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,746
Kuna binadamu wangine wamezaliwa duniani kuja kufuta kilichokuwa kinatumika au kutofikiliwa kabisa.

Tukitaja silaha AK 47 kila mtu sio mgeni wa jina kwa kusikia,kutaja au kuona.

Kwa asilimia kubwa hii ndio silahaa duniani kote inatumiwa kuliko silaha nyingine nzito zaidi.

Tokea kuundwa kwake imepata watumiaji wengi kuanzia jeshini,magaidi,watu binafsi,vitani,machafuko,tundu lissu,mauji ya kila aina.

Mpaka sasa kuna Aina 73 za AK-47 kimatoleo kulingana na matumizi.

Bwana huyu mwenyewe amekiri kutengeneza damu inayomwagika ya mikono yake.

Sijui huko alipopumzika wamempokea nani

Arifariki 23 December 2013 (aged 94).
 
Tundu lissu ameitumia kufanya nini sasa
 
Lakini kumbuka ya kwamba yeye si mgunduzi wa mfumo wa bunduki za auto rifles!

Bunduki automatiki zenye majina mengine zilikuwepo kabla ya ugunduzi wa hizo smg.
 
Ukishindwa Kuelezea kitu na ukaeleweka maana yake haukifahau kwa usahihi unacho kielezea
 
Lakini kumbuka ya kwamba yeye si mgunduzi wa mfumo wa bunduki za auto rifles!

Bunduki automatiki zenye majina mengine zilikuwepo kabla ya ugunduzi wa hizo smg.
Kwani msanii diamond ndio msanii mkali tu kila wakati wakati kuna wasanii wengi wakali.
Ndio silahaa kila kona inatumika si nyingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom