searcher
Member
- Jun 30, 2014
- 36
- 5
Kwa vijana wengi wanao BET watakubaliana na mimi. Vijana wengi wamekimbiia kwenye BETTING, ambapo hujipatia pesa za kukidhi mahitaji yao. Hii hari imeenda mbali zaidi mpaka kuitwa "ofisi" yaani vijana wanachukulia BETTING kama ajira yao kwa kipindi hiki kigumu. Nini fikra yako juu ya mwelekeo wa vijana ndani ya Tanzania yenye uhaba wa ajira na mafuriko haya ya makapuni ya BETTING?