😂😂😂😂😂😂Nilikurupuka aisee
Huu uzi niliuanzisha hata kabla huyo mchungaji hajafanya hayo uliyoyanena hapa kwahiyo weka mbali hisia zako mkuu hakuna mahali nimemtolea mfano gwajima wala hakuna sehemu niliyomtajaHizi taarifa ni za uongo kabisa zenye lengo Si tu la kumchafua na Kumshushia heshima Gwajima Bali linachafua kanisa la Mungu kwa ujumla, hata kama Gwajima humpendi au sio mchungaji wako lakini kufurahia aibu na video hzi kwa Gwajima ikiwa ni Kuutukanisha Ukristo wako pia na kumtukana Mungu
Hivyo, Ikiwa kweli wewe ni mkristo wa kweli lazima utaukemea ushetani huu unaosambazwa na maajenti ya ibilisi kuuchafua ukristo kwa ujumla.Hivyo kushiriki kufurahia au kusambaza taarifa hizi chafu kwa kufurahia aibu hii kwa Gwajima ujue unashiriki kazi za shetani, na wewe ni mchafu wa namna hiyo hiyo.
Nina wasiwasi na kazi wanayofanya wachungaji wanaoibuka kila siku ila sio kwamba maswali hayo niliyouliza yatanifanya niwe mpagani hapana na haitowezekana.Kwa maswali yako tu natilia mkazo kuwa utakuja kuwa mpagani one day, karibu ulimwengu wa ma-atheist mkuru!!
mzee mbona povu jingi sana,,mbona hakuna alipitajwa gwajimaHizi taarifa ni za uongo kabisa zenye lengo Si tu la kumchafua na Kumshushia heshima Gwajima Bali linachafua kanisa la Mungu kwa ujumla, hata kama Gwajima humpendi au sio mchungaji wako lakini kufurahia aibu na video hzi kwa Gwajima ikiwa ni Kuutukanisha Ukristo wako pia na kumtukana Mungu
Hivyo, Ikiwa kweli wewe ni mkristo wa kweli lazima utaukemea ushetani huu unaosambazwa na maajenti ya ibilisi kuuchafua ukristo kwa ujumla.Hivyo kushiriki kufurahia au kusambaza taarifa hizi chafu kwa kufurahia aibu hii kwa Gwajima ujue unashiriki kazi za shetani, na wewe ni mchafu wa namna hiyo hiyo.
Huu uzi niliuanzisha hata kabla huyo mchungaji hajafanya hayo uliyoyanena hapa kwahiyo weka mbali hisia zako mkuu hakuna mahali nimemtolea mfano gwajima wala hakuna sehemu niliyomtaja
Kwan walio wapagani na nyie walokole mna tofauti gani? tena nafuu na atheist wao wanaishi pasipo kusukumwa kama mawe mlimani...!!Nina wasiwasi na kazi wanayofanya wachungaji wanaoibuka kila siku ila sio kwamba maswali hayo niliyouliza yatanifanya niwe mpagani hapana na haitowezekana.