Mikao mingine bwana

upumbavu huu wabongo hauwapigi chenga, maana wao vya kutoka ulaya havina kasoro.

kuiga stail hii lazima kichwani ziwe pungufu na hiki ni kipimo cha utupu wa vichwa vya wanadam wanaoiga.
 
Kuiga stail hii lazima kichwani ziwe pungufu na hiki ni kipimo cha utupu wa vichwa vya wanadam wanaoiga.
vibindi vyetu hasa vya chuo ndio zao.
 
upumbavu huu wabongo hauwapigi chenga, maana wao vya kutoka ulaya havina kasoro.

kuiga stail hii lazima kichwani ziwe pungufu na hiki ni kipimo cha utupu wa vichwa vya wanadam wanaoiga.

Kwani wewe huna biashara zako? Kuna mtu anakupangia jinsi ya kuitangaza? Wenzako wako kazini wewe unamaindi si utakuwa mambo yako? Anyway,, kila mtu na maisha yake. Halafu ninyi mnaojifanya kumaindi kwenye keyboard unakuta familia zenu ndo zimepinda mpaka basi.
 
wewe hii unaifanyia mtaa gani na wapi huko? endelea kama biashara nikuuza ngozi hujakatazwa we uza tu.
 
upumbavu huu wabongo hauwapigi chenga, maana wao vya kutoka ulaya havina kasoro.

kuiga stail hii lazima kichwani ziwe pungufu na hiki ni kipimo cha utupu wa vichwa vya wanadam wanaoiga.

Wataiga tu hawa wabongo!
 
mhhhh!!!!!! kichefuchefu kama ambavyo ninavyochefukwa na wanaume wanaovalia suruali mapajani
 
upumbavu huu wabongo hauwapigi chenga, maana wao vya kutoka ulaya havina kasoro.

kuiga stail hii lazima kichwani ziwe pungufu na hiki ni kipimo cha utupu wa vichwa vya wanadam wanaoiga.

Wataiga tu hawa wabongo!
Wameshaiga,Nimewahi kukuta mdada wa makamo nguo ya ndani ipo nje alafu kamkanda tu na kavaa mini ya hatari !
nilipigwa na butwaa ! alafu ilikuwa hotelini
 
Heee jamani hawaskii hata kaupepo kanawapuliza hapo suez hata washtuke?
 
Zamani ukitaka kuona t.a.ko lazima umvue mtu chupi,ila siku hizi ukitaka kuona chupi lazima upanue t.a.ko,mambo yamebadilika sana.Mambo ya dotcom a.k.a digital
 
Wameshaiga,Nimewahi kukuta mdada wa makamo nguo ya ndani ipo nje alafu kamkanda tu na kavaa mini ya hatari !
nilipigwa na butwaa ! alafu ilikuwa hotelini

Ukistaajabu ya Musa, Utaona ya Firauni!!!!!!!!!!!!!
 
Lisa yaani sasivi tumeanza kuzoea maajabu ya Firauni! ya Musa yamekuwa ya kawaida kabisa, sijui dunia inaenda wapi jamani,, Dah !
 
Zamani wanawake ambao waliokuwa wanataka utajiri walikuwa wanatoa 0713! ikawa wanaonekana ni watu wa ajabu sana na jamii nzima ilikuwa ikiwashangaa sana, lakini ona sasa hivi imekuwa ni kitu cha kawaida kabisaaaaa!!!! Tena wanakwambia bila hiyo haoni kama umemfikisha.

kwenye maandiko matakatifu inaonyesha ni zama za mwisho!!! na Ndiyo dalili ya Yesu anakaribia kurudi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…