usinijibu hivyo
JF-Expert Member
- Nov 7, 2017
- 248
- 329
Ujamaa !Hata tuliowaiga China na Russia uliwashinda. Rejea uwekezaji wa viongozi chato na kwingineko.
Kuna vidampa wa mabeberu wanataka nchi, wasahau kabisa. Hatutorudi huku
Uliwashinda kwa mujibu wa akili yako finyu, China and Russia ni World's super power nations so far na ni ujamaa umewafikisha hapo, after all kuna mataifa mengi tu nayo yameshindwa pia kwenye ubepariUjamaa !Hata tuliowaiga China na Russia uliwashinda. Rejea uwekezaji wa viongozi chato na kwingineko.
Azimio la Arusha na Mwalimu Nyerere
Ili kuwa nu misingi ya Utu na Uzalendo
Zamani tulifundishwa kwa Katuni zinazojieleza.
Tuirudie tu hii Misingi ya utu.tusilalamikeView attachment 1193953View attachment 1193965View attachment 1193966View attachment 1193967View attachment 1193968View attachment 1193970View attachment 1193971
Kuliwa kupo ila usilinganishe unyonyaji uliokuwa ukifanywa na makaburu Africa kusini na neno "win win situation" ule ulikuwa ni unyonyaji na utumwa hata Tanzania japo tulikuwa huru lakini hatukupaswa kumiliki uchumi, ardhi yetu na madini yalikuwa mikononi mwao sasa hapo utajiitaje upo huru kama mpaka chakula ni mzungu ndio anakulisha ndani ya taifa lako?Ni mfumo wa dunia beberu Huwezi mkimbia utamuhitaji Kwa misaada mikopo au anunue bidhaa zako.Nyerere aliwazuia Kwa miaka 27 alipotoka tu wakala,ili uendelee lzm uliwe China USA ulaya zote zinaliwa thus zimeendelea
Azimio la Arusha na Mwalimu Nyerere
Ili kuwa nu misingi ya Utu na Uzalendo
Zamani tulifundishwa kwa Katuni zinazojieleza.
Tuirudie tu hii Misingi ya utu.tusilalamikeView attachment 1193953View attachment 1193965View attachment 1193966View attachment 1193967View attachment 1193968View attachment 1193970View attachment 1193971
Baadhi ya Misingi ya ujamaa ni mizuri sana
[/quoted.
True, mfumo mzuri unachanganya Mazuri ya ujamaa na ubepari
Hata sasa Africa si huru kiuchumi zaidi ya kupandisha na kushusha benderaKuliwa kupo ila usilinganishe unyonyaji uliokuwa ukifanywa na makaburu Africa kusini na neno "win win situation" ule ulikuwa ni unyonyaji na utumwa hata Tanzania japo tulikuwa huru lakini hatukupaswa kumiliki uchumi, ardhi yetu na madini yalikuwa mikononi mwao sasa hapo utajiitaje upo huru kama mpaka chakula ni mzungu ndio anakulisha ndani ya taifa lako?
Ujamaa tulio adopt sisi ulikuwa ujamaa wa kishamba na unaoendeleza hali ya umaskini.Ujamaa !Hata tuliowaiga China na Russia uliwashinda. Rejea uwekezaji wa viongozi chato na kwingineko.
Like father like Son! Pamoja na mapambio yooote haya, hayakuleta mafanikio yoyote na zaidi baada ya miaka zaidi ya 50, nchi bado ombaomba. Inatosha kutukumbusha kwamba hatuhitaji kurudi huko. Ila nyie watu praise team mna shida kubwa vichwani mwenu.Azimio la Arusha na Mwalimu Nyerere
Ili kuwa nu misingi ya Utu na Uzalendo
Zamani tulifundishwa kwa Katuni zinazojieleza.
Tuirudie tu hii Misingi ya utu.tusilalamikeView attachment 1193953View attachment 1193965View attachment 1193966View attachment 1193967View attachment 1193968View attachment 1193970View attachment 1193971
Africa itakuwa huru kama tukijithamini na kujitambua Waafrika wengi hatujiamini na hilo ndio tatizo, tayari tupo programmed kwenye mindsets zetu kwamba hatutoweza kujitegemea paseeHata sasa Africa si huru kiuchumi zaidi ya kupandisha na kushusha bendera
Africa itakuwa huru kama tukijithamini na kujitambua Waafrika wengi hatujiamini na hilo ndio tatizo, tayari tupo programmed kwenye mindsets zetu kwamba hatutoweza kujitegemea pasee
Utashangaa hata kiongozi wa kiafrika akiinuka na kutuhimiza kwamba Africa tunaweza hata kuzalisha nguo zetu wenyewe na kupeleka mitumba ulaya ni Waafrika hao hao tunashiriki kumvunja moyo na kumkwamisha
Usijetegemea kama Africa itakaa ipate uhuru wakati Waafrika ndio hulipwa kumchafua kiongozi wa kiafrika ambae anawakera mabeberu yaani Waafrika kwa kifupi ni bado sana hasa kwenye akili tuna shoti zimeacha majanga
Mijira au Mirija?