Miji inayowahifadhi wahamaiji kutozwa kodi kubwa Marekani

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Kamati maalumu katika Bunge la Senet la Texas imeidhinisha mswada ambao utatoza faini kubwa miji inayowapa hifadhi wahamiaji na kukataa kuwakabidhi kwa maafisa wa usalama ili wasafirishwe.

Mswada huo unatazamiwa kuwasilishwa katika Bunge la Senet la Kitaifa, linalothibitiwa na wanachama wengi zaidi wa chama cha Republican mapema juma lijalo.

Mamia ya waandamanaji walipinga pendekezo hilo wakisema kuwa hatua hiyo itaimarisha ubaguzi wa rangi ambapo watu wengi watatiwa mbaroni kwa sababu ya asili zao.

Chanzo: ITV
 
source Miji inayowahifadhi wahamiaji kutozwa kodi kubwa Marekani - BBC Swahili
 
Back
Top Bottom