yaani ni kama kwetu,Ceo muhindi,GM ni mwenyekiti wa ccm na ana mpango wa kugombea ubunge soon,hataki kabisa kusikia mpinzani ameingia ndani ya kampuni,anahakikisha kila anayeingia hapa ni mpiga kura wake mtarajiwa, ila magwanda tupo full na tunakomaa kibishi.
tehe tehe tehe! Catherine kama ofisi yako iko busy na business km usemavyo mbona uko jukwaa la siasa jf? tuache masihara siasa ndo maisha yanapoanzia. kazi njema catherine.
ni kweli nilichosema, nipo jukwaa la siasa maana huku naona atleast kuna watu naweza jadiliana nao mawili matatu au naweza kusoma tu na kuona nini kinaendelea ila kwa hapa ofisini hawana habari na siasa. kazi njema na kwako ingawa nimechelewa kujibu.
Haya mazungumzo ya kisiasa ofisini ni mazuri sana ndipo tunapopanga mikakati ya kujui chama kipi ni bora na kipi ni dhaifu. nyie msiejadili siasa ndiyo wale mwisho wa siku unaenda kuchagua picha yenye tabasamu ukijua maisha bora ndiyo yatapatikana.
Hapa ofisini kwetu jamani imezidi na watu wanajadili siasa mpaka wengine wajiita makamanda. Vipi huko kwenu kati ya magamba na makamanda mambo yakoje? Kwetu hapa ukijulikana ni gamba utakosa raha.
ni kweli nilichosema, nipo jukwaa la siasa maana huku naona atleast kuna watu naweza jadiliana nao mawili matatu au naweza kusoma tu na kuona nini kinaendelea ila kwa hapa ofisini hawana habari na siasa. kazi njema na kwako ingawa nimechelewa kujibu.
Catherine as I have said politics ni mwanzo wa mambo yote. Sasa hivi twaongelea new constitution. Hiyo ni siasa purely. Kama tukipata katiba mpya km ilivyopendekezwa kwenye rasimu ya pili, surely utaratibu wa kuendesha nchi utakuwa tofauti na sasa ambao mambo ni hobelahobela